Kampuni ya simu za mkononi Zantel imejitolea kudhamini Timu
ya Afrika Lyon kwa mkataba wa miaka mitatu
ambapo Zantel imesema kuwa Lengo lao ni kukuza vipaji kwa vijana wa
Kitanzania.
|
Leornard Tadeo Kushoto akiteta jambo na Afisa wa Zantel Bw, Sajid Khan mara baada ya mkutano
uliowahusisha waandishi wa habari.
|