| Huyu anaonyesha Maganda ya Risasi yaliyokuwa yanatumika wakati wanafukuzwa katika maeneo hayo |
| Baada ya kuchomewa nyumba yake dada huyu analala hapa yeye pamoja na watoto wake wawili ni nje ya shule mpya inayojengwa huko madale |
| Naye huyu yupo kwake anapika |
| Hapa pia ni kambi ya mtu mwingine na familia yake |
| Huyu ndo mwenye nyumba hii ana watoto wawili na mke na wote wanaishi humu ndani |
| Hii ndiyo shule |
| Wakazi hao wanaiomba serikali iwape makazi ya kuishi kwani wanateseka kukaa bila makazi hivi sasa. |