| Wanafunzi wa shule ya msingi Makuburi manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, wakiwa wameuchapa usingizi baada ya kuchoka kuwasubiri walimu kuja kufundisha bila mafanikio. |
| Hawa ndo wameamua kabisaa kuutandika usingizi |
| Wanafunzi wakiwa wanacheza muda wa Darasani baada ya walimu kugoma |