Bi Nketema amesema kuwa Tayari wamekwisha jenga Kiwanda cha kutengenezea mafuta hayo kitakachoitwa kwa jina la Local Sunscreen Production Unit(LSPU) ambapo kitakuwa maeneo ya RDTS Kitengo cha KCMC Mkoani Kilimanjaro.
![]() |
Baadhi ya waandishi wa habari waliokuwemo kwenye Mkutano huo |
![]() |
Haya ndiyo mafuta yenyewe sasa ambayo yanaweza kutumiwa na watoto pamoja na watu wazima hayo ni kwa ajili ya watoto. |
No comments:
Post a Comment