Friday, January 25, 2013

MWANDISHI WA CHANNEL TEN AJERUHIWA KWENYE VURUGU ZA GESI MKOANI MTWARA


 
Mwandishi wa Chanel alivyoumia katika vurugu za kudai haki ya Gesi Mtwara katika vurugu zinazoendela muda hapo jana.

 Askari wa kutuliza ghasia wakiwa tayari kutuliza fujo Mtwara kwa kile kilichoelezwa ni vurugu zinazoendelea za gesi
  
  Katika vurugu hizo, Nyumba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,\
Tawala na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia, imepigwa mawe na kuvunjwa vioo na Mahakama ya Mwanzo kuchomwa moto na hivi sasa mabomu ya machozi yanaendelea kulindima  Mtwara Mjini hivyo Jeshi la wananchi limelazimika kuingilia kati kutuliza ghasia hizo, hizi ni habari zilizopatikana muda huu

No comments:

Post a Comment