Sunday, September 29, 2013

TRUE STORY KUTOKA KWA WEMA SEPETU,ALIVYOKUTANA NA KANUMBA HADI MAPENZI,PIA NA DIAMOND N.K



Leo akisherehekea siku yake ya kuzaliwa, mwanadada wema sepetu alipata nafasi ya kufanya interview na mtandao wa burudani wa bongo five.
Katika interview hii, wema sepetu ameongelea mambo mengi sana na makubwa yakiwema mapenzi, na maisha yake bunafsi kwa ujumla. Ifuatayo na sehemu ya interview hiyo kama iliyonukuliwa toka mtandao kwenye mtandao huo
Swali: Kuna wakati wowote uliwahi kujuta maisha ya ustaa baada ya kuwa Miss Tanzania?
Yes, nimewahi kujuta lakini mwisho wa siku huwaga nasema kwamba mwenyezi Mungu ndio anapanga kwasababu kama mwenyezi Mungu ndio amenipangia hivi nisingefika hapa kwanza, kwahiyo regrets zinatokea kwa kila mtu, lakini siwezi kusema kwamba zimetoka kwa mara nyingi, labda mara moja mara mbili na zinatokea pale tatizo linapotokea, hauwezi ukapata regrets kama hakuna tatizo. Ukiwa staa kila mtu atataka awe rafiki yako, na kabla ya kuwa Miss Tanzania ni wazi ulikuwa na marafiki uliokuwa ukihang out nao hapa na pale, uliendelea kuwa na urafiki nao, ama baada ya kuingia maisha hayo ikakuwia vigumu kuwa nao tena pamoja? Nina marafiki mpaka sasa ninahangout nao wanakuja mpaka nyumbani lakini hatushei sana zile common interests kama zamani because once upon a time tulikuwa tuko wote on the same rank. So nilivyokuwa nipo kwenye spotlight obvious nimekutana na watu wengine wapya watu ambao naonana nao katika kazi zangu za kila siku, because apart from being Miss Tanzania, I am also an actress, kwahiyo nakutana na wasanii wengine ambao labda nakaa nao kwa muda mrefu sana kwahiyo utajikuta tu unashare nao common interests sababu unafanya nao kazi pamoja. Swali: Ulikuwa na boyfriend tayari?
Yes nilikuwa naye Swali: Kuna wakati wowote aliwahi kujihisi inferior kutokana wewe kuwa maarufu? Ulifanyaje kumweka sawa?
Well, si unajua zile za kishuleshule, zile za kitoto naweza kusema. Sana sana ukishafika ile o-level nini utakuwa na yule boyfriend ambaye unaamka tu asubuhi umeshavaa unasema sasa hivi naenda kuonana na boyfriend wangu, ukisharudi kutoka shuleni from there nyumbani, no boyfriend. Yeah nilikuwa naye, in the beginning alivyojua kwamba nashiriki Miss Dar Indian Ocean akaniambia kwamba ‘ukishiriki mimi nisahau, sitaweza kuwa na wewe tena’, nikamwambia, why? Akaniambia ‘utakuwa upo kwenye public’ nikamwambia ‘okay fine’, nikamdanganya kwamba sishiriki. So siku moja gazeti la Mwananchi pale katikati kulikuwa na picha yangu kubwa ‘Miss Dar Indian Ocean kushindana kesho’ and lile gazeti kuanzia naingia shuleni naingia kila mtu ananiambia ameniona kwenye gazeti. So kitu cha kwanza nikafikiria ‘Mungu wangu yule mtu akiliona’ so sikuonana naye the whole day. Nikiwa nyumbani ndio nikamuona anakuja kalishikilia, nikawa namsikiliza. Akaniambia, ‘nimeona gazeti lako and ndio hivyo kwahiyo umeshanidhihirishia kwamba umechagua hiyo issue, so fine we endelea’. Basi nikajaribisha kuongea naye lakini hakuweza kunisikiliza lakini luckily the next day wakati ndio nashiriki nimekaa pale time ya kujibu swali namuona pale anapiga picha kwahiyo he was there na alinisupport mpaka nilipofika Miss Tanzania lakini after that sababu nilikuwa ambassador wa Vodacom nikawa nafanya kazi Vodacom nikawa sionani naye vile kama kawaida, kila akinipigia simu nipo busy, yeye mwenyewe akasema tu ‘bwana mimi siwezi’. Basi tulielewana vizuri na mpaka kesho tunaongea, tunasalimiana’
Swali: Uwewahi kusema bila Kanumba usingeingia kwenye movies, marehemu alikuwa ana mchango gani kwako? Nakumbuka nilipokutana na marehemu nilikuwa niko na dada yangu mimi nilikuwa nakaa na dada yangu, kwasababu once nilishawahi kuishi na mama yangu and then from there unajua baada ya kuingia kwenye nini nini nikawa busy. Dada yangu mimi kaolewa lakini kwa dada yangu nilikawa nahisi kama pako free zaidi, kwamba mama ukirudi ‘umetoka wapi sijui nini na nini hivyo, alikuwa haelewi. So ikabidi tu nianze kuishi na dada yangu. Kwahiyo dada yangu akawa ananielewa, kwasababu hayupo sana protective kama mama. Siku hiyo tunabadilisha seating arrangement ya pale nyumbani kwa dada yangu tukawa tunatafuta carpet like different furnitures, so tukawa tumeenda hapa kulikuwa na hili duka kubwa hivi la Mwanamboka kulikuwa kuna furniture center, Pentagon, so tukawa tumeenda pale wakati tunaenda tulimkuta Kanumba wapo nje wameweka makamera yao nini ,wanashoot Lost Twins. So sisi tumeingia tunaona tu makamera, tumepark gari tumeingia ndani tunaangalia furniture. Akatokea Maya tukasalimiana akaniambia, ‘ jamani nakupenda’ na mimi nikamwambia na mimi napenda unavyoigiza’ nini na nini. Tukatoka nje tukakutana tena na Maya akaniambia ‘jamani jamani kama unaweza pita kidogo tu hata uonekane, hata usalimie’. Nikamwambia siwezi kwasababu nipo kwenye mkataba, akina Uncle Hashimu wataniua wakiniona nimefanya kazi au nimetokea kwenye nini bila kuwaconsult so akaniambia ‘basi sawa tuachie namba yako’. Wakati ananiambia tuachie nambo yako, Kanumba huyo anapita, ‘Kaka kaka ngoja umemuona Wema?’ Aliniringia sana. ‘Mambo’ nikamwambia ‘fresh vipi’ ‘safi’ nikamwambia poa,’Kaka basi chukua namba yake ya simu tunaweza baadaye like tunaweza tukamtumia kwenye movies’, ,Kanumba akamwambia achukue simu yake ndani. Basi nikamwangalia mimi mwenyewe basi ndio ninamwona mara ya kwanza, ‘Hee Kanumba’, kwasababu nimeangalia sana michezo yao. Basi, so baada ya hapo akaleta akachukua namba yangu akanibeep nikamsave, basi mimi nikaondoka zangu. Sijafika mbali naona namba inanipigia ambayo nimeisave vilevile Steven Kanumba, nikapokea ‘Hello’ akaniambia ‘vipi, safi Kanumba hapa’ nikamwambia ‘namba yako nimeisave’ ‘haya basi sawa basi baadae’ nikamwambia ‘poa’. Mara like jioni jioni hivi akaanza kunitext ‘mambo’ ‘Safi’ ‘vipi uko wapi?. Basi kila siku tukawa tumejengeana tabia ya kutextiana kila siku tunandelea for one weak tunatext mara yeye ataniuliza umekula nini, mara sijui nini, obvious kwa mwanamke unakua tu unajua kwamba mwanaume akiwa ana interest na wewe. Kidogo tukaanza kuulizana una boyfriend una girlfriend sijui nini, hivyo. Akaniambia mimi ‘nipo kambini Lamada’ akanielekeza nikafika. Basi nimefika siku hiyo tumekaa pale garden akaniambia ananipenda na nini, hivyo. Kipindi hicho nilikuwa sina boyfriend nilikuwa very very single, so nikamdanganya nikamwambia ‘mimi na boyfriend wangu sijui nini’ akaniambia ‘naomba tu just like nifikirie basi’ Nakumbuka tulivyokuwa tunaondoka ndo tukakiss, it was our first kiss. Basi nikaondoka, akaniambia ‘unaweza kurudi tena nikamwambia siwezi akaniambia please, please naomba urudi tena unikiss’ nikamwambia ‘sawa’ basi nikarudi then akaniambia ‘l love you, love you too, mapenzi yakaanza. Basi kwenye mapenzi yetu ndo akaniambia like ‘nataka kuact movies na wewe’ nikamwambia ‘mimi siwezi kuact’ akaniambia ‘mimi nahisi unaweza kuact hujajua tu’ nikamwabia sijawai kufikiria kuact, akaniambia ‘unaweza kulia’, nikamwambia ‘nilie nina sababu gani ya kulia’ akaniambia ‘basi kama huwezi kulia tutakumenyea vitunguu, ‘vitunguu ukimenya si unalia, basi tutakuwa tuna kumenyea vitunguu’ . Akaniambia niende kuonana na bosi wake. Nilivyofika tu ofisini nikaonana na Mtitu Game. Akanipa script akaniambia nikasome kama story akaniambia ‘wakati unasoma uwe unasoma sana concentrate kwenye Dina. Basi vile tukiwa tukikutana tunafanya mazoezi nini, akaniambia ‘sawa basi wewe you are ready to shoot. Nilivyo shoot movie yangu kwanza, hauwezi amini, I just felt yaani kwanza niliona iko very easy. Kwa wengine wanaona it’s hard unajua. Baada ya hapo ndo nilikuwa tayari nimetoa taji, I had to go back to school. Nikasafiri nikaelekea Malaysia kufanya kozi yangu ya mwaka ya International Business, wakati niko Malaysia nikatumiwa movie yangu ya Point of No Return. Tumekaa tunaangalia na marafiki zangu nikaona kwamba kumbe it’s nice, it’s fun. Nikampigia simu, ‘narudi for likizo soon naomba uniandalie script nataka ni shoot movie nyingine’ Nimerudi kweli ndo tukashoot Red Valentine, Family Tears, White Maria yaani tukashoot movie movie nyingi hivi so from there nikawa nimeshajikuta katika movie, so that why I keep saying kwamba without him nisingejua.

Swali: Hebu tuzungumzie uhusiano wako na Diamond ambao katika Swali: mahusiano yako yote ndio ulioandikwa zaidi kwenye magazeti, unakumbuka mlikutana wapi? Mi na Diamond tuliwahi kukutana mara moja tu Billcanaz na hatukuwahi kusalimiana kabla ya kuanza uhusiano lakini tulikuwa tunaangalia sana, so nakumbuka alikuwa yupo smoking room kwahiyo tukawa tumepeana migongo, nilikuwa na rafiki zangu wawili. Nikamuona akaniona yeye alikuwa na rafiki yake, hatujasaliamija hatujafanya chochote mimi nimechukua vinywaji tukatoka nje na marafiki zangu tumesimama hapo nje nikawa naambiwa ‘yule ndio ameimba Kamwambie’ kipindi hicho nilikuwa namuona wa ajabu sana ila tu alijiseksisha kiasi fulani (kicheko kirefu). Kipindi hicho mimi nilikuwa natoka na Chaz Baba so nakumbuka hiyo ndio ilikuwa the first and last day tumeonana. Mimi nikasafiri nikaenda Marekani, nilipofika kipindi hicho Kamwambie ndio ilikuwa hot na Mbagala ndio karelease. Dada zangu walikuwa wanampenda sana Diamond yaani just from the songs. Dada yangu wa kwanza ana miaka 14 yupo Marekani na hajawahi kurudi Bongo toka aondoke kwahiyo alikuwa anaona Bongo inafanya vizuri sasa hivi akaniuliza kama tuna urafiki na Diamond nikasema sio sana tunajuana tu. Akaniambia nimwambia aende Marekani kufanya show sababu kila party tuliyokuwa tunaenda lazima watapiga Kamwambie halafu kila mtu anaipenda. So watu wakaanza kuniambia like ‘hebu find contact naye huku kuna mapromoter aje kufanya show’na kipindi hicho Profesa ndio alikuwa amekuja nikamwambia basi sawa mi nitamtafuta. Nikamwabia Da Rehema, Ray C anitafutie contact zake. So siku moja nikaona anaplan kwenda kufanya show London, nika mclick Diamond Platnumz nikamtext, nikamwambia ‘hey mambo vp mzima upo London’ akaniambia ‘No mamie sipo London sijui ni nini’ nikamwabia ‘anyways Wema hapa nipo Marekani halafu it happens una fans wengi, akaniambia basi sawa acha nimalize issue ya London halafu nitakuambia. Basi tukajenga tu mazoea tukawa tunachat nini yaani ikawa yeye anaingia Facebook kuchat na mimi naingia kuchat naye, washkaji tu yaani. Akawa ananiambia ‘bado uko na Chaz na nini’ nikamwambia yeah nipo na Chaz. Sasa ilikuwa ni kama mwezi wa nane wa tisa kama sikosei. Mimi wakati nipo Marekani nilikuwa naambiwa sana news kuhusu Chaz, mara Chaz sijui yupo na mwanamke gani, hiyo hiyo Facebook watu wananitumia mpaka picha nikumuuliza anakataa. Sasa mimi nakumbuka dada yangu alikuwa anampenda sana Chaz so siku ya siku amekutana naye yupo sijui na mwanamke gani alipoaniambia nikasema, basi. So nikajikuta namuelezea matatizo Diamond. Siku niliyoamua kabisa mimi and Chaz are done nikamwambia mimi siwezi. So tukawa tunawasiliana na Naseeb hivyo. Siku moja tukanuniana, alikuwa amealikwa Ikulu halafu nikawa namtext hajibu, nikimpigia simu hapokei akaja akatoka akanipigia simu nikawa sijibu. Akanitumia meseji ‘baby I am sorry, we ndio faraja yangu sijui ni nini…. I LOVE YOU. Sikuona kitu kingine chochote nikaona tu hiyo. Basi nami nikamjibu sawa nimekusamehe lakini sijakusamehe sana, nimekusame kidogo. Akaniambia ‘niambie kitu kizuri’ na mimi nikamwambia I LOVE YOU. Basi akaniambia ‘mwenzio nakupenda, nachanganyikiwa’ basi no mapenzi yakaanza hapo.So niliporudi kutoka Marekani mimi na Naseeb tukaanza kuishi pamoja.
Swali: Mwaka jana alipooenda kutumbuiza kwenye Big Brother Africa, alidai kuwa ameweza kuongea Kiingereza kwasababu yako, ulikuwa ukimfundisha ama ulikuwa ukipenda kumuongelesha Kiingereza zaidi? Yes. Naseeb alikuwa hajui Kiingereza, alikuwa anajua cha juu juu. Ila mimi na Naseeb tumekaa pamoja mwaka mzima kama mke na mume. So mimi nilivyo kidogo nimetupia Kiingereza kwahiyo hiyo ilikuwa inampa tabu kwenye the first two months kwahiyo most of the times nikawa naongea naye Kiingereza. Lakini he is smart, Naseeb is very smart yaani akiwa haelewi kitu ‘hivi baby hapa kwenye has na have unafanya nini, hapa natumia tense gani? Niweke ing niweke nini?’ mwisho wa siku nikajikuta like tunatumia most of the time kufundishana. Akisema kitu ambacho sicho namwambia ‘usije ukarudia tena kusema hivyo mbele za watu watakucheka’. So akajikuta tu anaweza. Kwanini mliachana? Mimi na Naseeb tuliachana baada ya yeye kunicheat na Jokate .Nilikuwa sijui and maisha yangu yote tangia nimeanza mapenzi na Naseeb naweza kusema kuwa sikuwahi kuwa unfaithful. I used to be very faithful to him na tulikuwa tunapendana sana. With Naseeb nilikuwa nimesharidhika na maisha ambayo niko nayo na hata kama yalikuwa not good, whatever lakini tayari nilikuwa nipo satisfied with me and him nilikuwa tayari nimesharidhika naye. Nadhani pia inacost mwanaume akishajua kwamba anakutawala in one way or another so labda ni shetani au ni ibilisi alimuingilia baada ya kutaka kuanza kushoot video ya Mawazo ndo rumors zilianza, nikawa siamini kwanza. Siku moja ndio nikapigiwa simu na rafiki yangu anafanya kazi Piccolo akaniambia ‘Diamond yuko hapa na Jokate na wanakiss’. Nilitoka, nikachukua taxi nikaenda mpaka Piccolo, kitu cha kwanza niliona gari yake. Nilivyofika nikawakuta sijui wamewekeana miguu. Nilivyofika pale nikawasalimia wakawa wako kimya na nimeona ile kitu nikawaaga nikaondoka zangu. Nikaliaaaa, amerudi wakati huo bado tunaishi pamoja akanikutana napanga nguo, hakutaka kuongea sikutaka kuongea, tukachuniana, sikulala mimi na Naseeb kitandani for one week. Anaiona ile hali lakini hataki kuanza. Nikachoka, nikaja tu siku nimepanga nguo zangu nikaenda kwa dada yangu ndio ikawa kimoja. Basi mimi nikamwacha akaendelea na maisha yake na mimi nikaendelea na maisha yangu. Swali: Unamiss chochote kutoka kwake? Normally inakuaga ni ngumu sana kuadjust kwa maisha mapya. It’s always very hard kuanza tena love life sababu apart from mapenzi kuna kuna mazoea so inakuaga ngumu sana at the beginning. Nilikuwa, lakini not anymore sasa hivi naona kawaida tu kama tulivyoachana na wengine. Silook back nikamiss chochote, everybody is happy now. Swali: Hivi majuzi yeye na mpenzi wake wa sasa Penny walikurekodi baada ya wewe kumpigia simu Diamond, ni kwa kiasi gani tukio hilo lilikuvunja moyo wako? Sikuwahi kudhani kwamba Naseeb ni mtu wa aina hiyo kufanya kitu alichokifanya. Though nimesema kwamba nitaacha kama ilivyo na nisingependa kuiongolea lakini nilikuwa very disappointed, very very disappointed. Swali: Ni kweli lilisababisha utamani kufa ama kulikuwa na jambo jingine?
Maneno yalikuwa mengi sana halafu ilivyotokea nilijipa moyo, ‘you know what’ F it, bullshit ni mshenzi tu, mshamba tu ambaye hajaenda shule. Lakini kitu ambacho kilinifanya niwe torn ni the next day baada ya kuona post ambayo wanasema kwamba ni fake ya Diva, alitukana tukana sana, that was kitu kilichonifanya niwe like okay…… Lakini with the support and help ya watu ambao wananisurround, my family friends, the people who love me, wakanipa moyo.
Swali: Je! Ni sababu ya wewe kwenda vacation Arusha?
Yeah. My manager alinifanyia hivyo just to easy me up for whatever that imetokea. Swali: Penny alikuwa rafiki yaki tangu utotoni, unahisi alikuzunguka kwa Diamond?
It’s a free world, kila mmoja ana uhuru wake wa kuishi anavyotaka yeye. They met, they fall in love wameanza mapenzi, mtu yoyote anaweza kufall in love na mtu yeyote asiwe questioned. Love doesn’t ask why, haiulizi kwanini, because alikuwa rafiki yangu then I can’t NO. Wapendana, I wish them all the best. Mimi na Penny si kwamba hatuongei sio sababu ya hii issue, tuna drama zetu tu za huko nyuma kwahiyo hii issue ni muendelezo tu. Swali: Una nyumba yenye thamani ya milioni 400…
Sio shilingi milioni mia nne ni milioni 280. Milioni 400 watu wameniquote vibaya because Zamaradi aliniuliza ‘your empire ina worth kama shilingi ngapi’ ndio nikasema about… so nyumba no, niliinclude nyumba na magari na nini. Swali: Okay, gaari karibu milioni 80, ofisi yenye thamani ya takriban milioni 70, uliwanunulia Gucci na Vanny vitu vyenye thamani ya karibu milioni 6, ulimtolea Kajala milioni 13 na mengine mengine, hivi how rich are you Wema? Are you a millionaire?
No, I’m just a normal person, not a millionaire, not a billionaire; I’m just Wema trying to live life. Swali: Kwa mtanzania suala la kutumia mamilioni kwaajili ya shopping kwa mbwa tu haliwaingi akilini haraka, Vanny na Gucci wana thamani gani kwako mpaka uwagharamikie hivyo?
Vanny na Gucci are my everything. They are my everything because Wema Sepetu hana watoto, sina mtoto ila nawish kuwa na mtoto Inshallah mwenyezi Mungu akinijaalia nikapata uwezo wa kubear mtoto nitafurahi. Bado nadhani mpaka mwenyezi Mungu akinipa hiyo blessing ya kuwa na mtoto. Since then sina, so nawachukulia Vanny na Gucci kama watoto wangu, they are my babies. They are the reason mimi nikienda nyumbani niko stressed, they always make me smile. They are faithful, wako innocent; they are loyal hawawezi kunibetray, hawawezi kunihurt in anyway. Vanny akiumwa au Gucci nikimuona hayuko sawa I go crazy mpaka huwaga nalia. Tayari wana connection na mimi ambayo siwezi kuifananisha na kitu chochote. So they are my world. Kwahiyo mtu akitaka kumess na mimi amess na mbwa wangu hakutakalika I swear, I can do anything for those creatures, I can give my all for them. Swali: Kitu gani ambacho ungependa watanzania wakifahamu kuhusu wewe ambacho unahisi wanapotoshwa?
The fact that wanavyosema mimi napenda scandal, mimi sipendi scandal , sipendi, hakuna binadamu anayependa scandal. I live to what makes me happy and kukifanya siogopi labda ndio kitu ambacho kinanicost. Naweza kusema kuwa kitendo cha mimi kuwavalisha nguo mbwa wangu kimewashangaza wengi lakini it makes me happy. If I look at them wako cute, wamependeza na sio nguo za binadamu zile ni nguo za mbwa kabisa ziko designed for dogs, ni viatu vya mbwa ambavyo viko designed for dogs, I can afford it, why not getting for my dogs, it makes me happy I live to it. Naweza kusema kwamba the fact ya mimi kuishi vile, roho yangu inapenda ndio inayonicost. Niko na mtu fulani, I want to make him be public kwa watu kwanini wasimjue, it makes me happy, I do it inanicost, ‘Wema Malaya sijui nini’ ndio kinachonicost.

HUYU NDIO BINTI ALIYEVULIWA NGUO HADHARANI NA WANAKIJIJI MARA BAADA YA KUMCHANA NA VIWEMBE RAFIKI YAKE ALIYEMFUMANIA NA MPENZI WAKE..!!

 

Hawa  ni  mabinti  wawili  ambao  walikuwa  ni  marafiki wa  damu.Urafiki wao uliingia  dosari  baada  ya  mabinti  hao  kusalitiana  na  kuchukuliana  wapenzi....

Anayevuja  damu  usoni ni  binti  ambaye  amechanwa   nyembe  na Magreth  ( rafiki yake ) akimtuhumu  kutembea  na  mpenzi wake.

Saturday, September 28, 2013

SIRI YAFICHUKA...YULE DAKTARI FEKI ALIYENASWA MUHIMBILI AKITOA HUDUMA KWA WAGONJWA KUMBE NI FUNDI UMEME..!!



SIRI imefichuka! Kumbe yule Dokta Dismas John Macha aliyenaswa kwa tuhuma za kujifanya daktari katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar, Jumanne wiki hii, ni fundi wa umeme wa nyumbani, Risasi Jumamosi linaianika.
Akizungumza na mwandishi wetu Jumatano wiki hii, mmoja wa maafisa wa ngazi ya juu wa Jeshi la Polisi ambaye hakutaka jina lake liandikwe kwa kuwa si msemaji wa jeshi hilo, alisema kwa mujibu wa uchunguzi wao, ilibainika kwamba dokta huyo feki ni fundi umeme wa siku nyingi.
Afisa huyo alisema kuwa hadi sasa uchunguzi zaidi juu ya Macha unaendelea ili kujua mambo mengine yaliyojificha.
Hata hivyo, hakuweka wazi ni hatua gani ambayo anaweza kuchukuliwa na kusisitiza kuwa lile ni kosa kubwa kwani linahusisha afya na maisha ya watu.
Baadhi ya mambo ambayo tumeyabaini kuhusu huyu jamaa, ni kuwa kumbe ni fundi umeme wa nyumbani na alichokuwa akifanya Muhimbili ni kutaka kujipatia fedha kwa mkato japo tunaendelea kupeleleza kujua ni wapi alipata vifaa vya udaktari,” alisema na kuongeza:
Tuhuma kama hii ni nzito, inahusisha afya na maisha ya watu kwa jumla, taratibu zinaendelea kujua mengi sana juu ya huyu bwana.”
Macha ambaye anadaiwa kutafutwa na uongozi wa Muhimbili kwa muda mrefu, alikamatwa na kufikishwa kwenye kituo cha usalama cha Muhimbili (Muhas) kwa mahojiano zaidi ambapo habari zilidai alisema yeye ni daktari wa Mwananyamala ambaye alifika hapo kwa ajili ya kuangalia wagonjwa wake wa nje.

PICHA YA MSANII RECHO AKIWA KATIKA POZI LA NUSU UCHI....


MSANII wa filamu za kibongo, Rachel Haule ‘Recho’ hivi karibuni aligeuka kituko baada ya kutupia picha ya nusu utupu katika mtandao wa kijamii.

Picha hiyo ambayo Recho amevaa shati tupu (inayoonesha ndani) bila kuvaa kitu kingine chochote, aliitupia kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram ambapo mashabiki na marafiki zake walichangia huku wakimlaumu kuwa hakufanya vizuri kuiweka picha hiyo ya aibu mtandaoni.

Mwandishi  wetu alimuuliza Recho kulikoni? Akajibu hivi:
“Nawapenda sana marafiki zangu lakini mimi sijaona tatizo la hii picha kwa sababu ni ya kawaida sana sioni ubaya wake.”

Thursday, September 26, 2013

WANAFUNZI 300 KUKOSA MKOPO MWAKA HUU ..ELIMU YA JUU


Zaidi ya wanafunzi 300 wa elimu ya juu wa vyuo mbalimbali watakosa mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), kutokana na kushindwa kujaza fomu za kuomba mikopo katika kipindi kilichowekwa. 
Watakaokosa mikopo hiyo kwa mwaka wa masomo wa 2013/2014 ni kuanzia mwaka wa pili na kuendelea, ambao hawakujaza fomu za kuonyesha taarifa zao mpya kwa bodi. 
Wanafunzi hao walitakiwa kuwasilisha maombi ya kupewa mikopo kati ya Mei hadi Julai 30, mwaka huu.
Mkugenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa HELSB, Cosmas Mwaisobwa, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam alipozungumza na waandishi kuhusu utendaji wa kazi wa bodi hiyo. 
Mwaisobwa alisema kwa kuwa wanafunzi hao hawakujaza fomu za kuomba mikopo, mwaka huu hawatapata fursa hiyo na kwamba kwa mujibu wa utaratibu wao, kila mwaka lazima mwanafunzi aombe. 
Alisema wanafunzi watakaokosa fursa hiyo ya mikopo wameanza masomo yao katika vyuo mbalimbali nchini na kwamba HESLB haijui sababu zilizowafanya wasiombe. 
Kuhusu ufanisi katika utoaji wa mikopo, Mwaisobwa alisema idadi ya wanafunzi wanaoomba mikopo imeongezeka kutoka 42,729 mwaka 2005/2006 hadi kufikia wanafunzi 97,348 mwaka 2012/2013. 
Aidha, Mwaisobwa alisema bajeti ya kuwakopesha wanafunzi imeongezeka kutoka Sh. bilioni 56.1 mwaka 2005/2006 hadi kufikia Sh. bilioni 306 mwaka 20012/2013. 
Alisema mwaka huu serikali imeitengea bodi hiyo Sh. bilioni 325 kwa ajili ya kuwakopesha wanafunzi wapya, 31,647 na 62,376 wanaondelea na masomo yao katika vyuo mbalimbali. 
Wakati wanafunzi hao wakikosa fursa ya mikopo, mapema mwezi huu, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, aliitaka bodi hiyo kuendelea kutoa huduma kwa ufanisi na weledi mkubwa kwa mwaka huu wa masomo ili kuepusha migogoro ya wanafunzi kuhusu mikopo.
CHANZO: NIPASHE

MAGAIDI WAENDELEA KUIANDAMA KENYA....WALIPUA TENA KITUO CHA POLISI NA KUUA POLISI WAWILI..!!



Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa watu wanaozaniwa kuwa ni magaidi wamevamia kituo cha Polisi katika Mji wa Mandera nchini Kenya na kuwaua polisi wawili, watatu wamejeruhiwa vibaya na baadaye kuchoma magari zaid ya 11

Wednesday, September 25, 2013

BAADA YA KENYA SASA AL-SHABAAB YAIGEUKIA TANZANIA....WATISHIA KUIVAMIA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA..!!




*Yajigamba kufanya mashambulio muda wowote
*Watanzania wapewa mafunzo ya ugaidi nje ya nchi
*Polisi nchini wasema vyombo vya ulinzi viko macho
*Mtanzania akamatwa Kenya akihofiwa gaidi
 
WAKATI wananchi wa Afrika Mashariki wakijawa na hofu ya mashambulio yanayopangwa kufanywa na vikundi vya ugaidi vya Al Qaeda na Al Shabab, imebainika kuna Watanzania waliopewa mafunzo ya ugaidi wanaojiandaa kufanya maovu.

Hayo yamebainika siku chache baada ya wanamgambo wa kundi la Al Shabab kufanya mashambulio katika Jengo la Biashara la Westgate mjini Nairobi na kuua watu zaidi ya 70 na kuacha mamia wengine wakiwa wamejeruhiwa.

Mkuu wa Interpol Tawi la Tanzania, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Gustav Babile aliyasema hayo jana katika mahojiano maalumu na MTANZANIA.

Alikuwa akizungumzia kauli ya hivi karibuni iliyotolewa na Msemaji wa Al Shabab, Sheikh Abdulaziz Abu Muscab aliyetoa tahadhari kwamba kundi lake linapanga mashambulio mengine Tanzania na Uganda.

Babile alisema taarifa zinaonyesha vijana wa Tanzania waliojiunga na mafunzo ya ugaidi yanayotolewa na vikundi vya Al Qaeda na Al Shabab, wamefanya hivyo baada ya kushawishiwa watapata utajiri wa haraka.

Alisema hali hiyo imevifanya vyombo vya ulinzi na usalama nchini kutoipuuza kauli hiyo ya Sheikh Abdulaziz Abu Muscab.

“Tunajua wapo Watanzania wanapewa dozi za ugaidi, na sisi siyo kisiwa, watu ni hao hao… tumejipanga kuyakabili haya na kuushirikisha umma katika ulinzi,” alisema.

Babile alisema kauli ya msemaji wa kundi la Al Shabab ya kuivamia Tanzania siyo ya kupuuza na kusisitiza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama nchini viko tayari kukabiliana na lolote litakalotokea.

“Tumeisikia kauli yake kwenye mitandao ya jamii, imetufanya kuwa alert (macho) vya kutosha, imetuweka sawa na imetukumbusha kuwa tunaweza kuvamiwa wakati wowote.

“Hatuja-relax hata kidogo, tumejiweka sawa kwenye human resources zetu, materials resource na hata frontline officers wetu wako makini mno.

“Mfano kwenye viwanja vya ndege ambako ni muhimu, kuna mitambo inayoweza kugundua hati za kusafiria za washukiwa wa uhalifu wanaotafutwa kimataifa na tutawakamata tu.

“Lakini hata kwenye mipaka yetu yote hatuko peke yetu, tumepanua wigo wa kupata taarifa za kiintelijensia na katika kufanya kazi hii tunashirikiana na vyombo vyote vya ulinzi na usalama,” alisema.

Baada ya kufanya mashambulio mjini Nairobi Jumamosi iliyopita, Msemaji wa Al Shabab, Sheikh Abdulaziz Abu Muscab, aliripotiwa kwenye mitandao ya jamii akisema shambulio hilo lilikuwa ni la kulipiza kisasi baada ya majeshi ya Kenya kuvamia kundi hilo lenye makazi yake mjini Kismayu, Somalia.

Mitandao ya jamii pia ilimnukuu Sheikh Abu Muscab akijigamba kuwa wakati wowote mashambulio ya kikundi hicho yataelekezwa Uganda na Tanzania.

Wakati huohuo, Babile amesema Mtanzania mmoja alikamatwa Kenya akishukiwa kuwa ni mmoja magaidi waliovamia jengo la Westgate.

Bila kumtaja jina, alisema mtu huyo ni mkazi wa Arusha na alikamatwa muda mfupi baada ya kuingia Kenya akitoa Tanzania, akitumia usafiri wa mabasi ya abiria.

“Walipomkamata wakatuletea taarifa sisi, tukatafuta kwenye database zetu na information za ndani zikatuonyesha hakuwa mtu hatari, tukamuachia.

Kilichowatia hofu na kumshuku mtu huyu ni muda alioingia Kenya na muda wa tukio lilipotokea… lakini tumeangalia taarifa zote tukagundua hakuwa na shaka,” alisema Babile.

-Mtanzania

KENYAN TOP 10 RICH MUSICIANS LIST !





Since Kenyan musicians have never declared their net-worth, the only prudent way to find out is going through the Music Copyright Society of Kenya (MCSK) archives. As such, MCSK recently came up with a list of the top 10 wealthiest musicians in Kenya.

The highest paid Kenyan artists by MCSK and beneficiaries of endorsements, especially by the corporate, make this list. Other factors such as: number of live performances, CDs and merchandise sales and other related careers are also considered.

MCSK also pays registered artists royalties for music played by the media.

So here we go;
1. Jaguar

Jaguar has been in the Kenyan entertainmentindustry since its infancy and is one of the finest hit makers in the region. The Kigeugeu singer is also an entrepreneur with a portfolio that consists of a new car dealership, taxi firm, security firm, garage and real estate. Jaguar was recently awarded by MCSK where he was amongst the artists who bagged millions at the event. He made headlines when he allegedly bought a plane - Air Jaguar - that appeared in his new video Kipepeo. He also owns several posh car brands like Range Rover Sport, Bentley, and Lexus GL450. Most recently, he was paid close to KSh1M after a single concert in Burundi.

2. NoniniHe’s the Breakfast show presenter at One FM, Nairobi. Nonini is also a co-pioneer of Genge, which is a sub-genre of Africanised Hip Hop. He’s widely known as The Godfather of Genge. The artist has three studio albums that receive massive airplay on local media making him the highest paid artist by MCSK in 2012. When he launched the Colour kwa Face Foundation to fight for the rights of albinos just recently, the renowned Selif Keita endorsed him. Other corporate groups backing the project include: Safaricom and Standard Group.


3. WyreHis new song Nakupenda Pia featuring Alaine is one of the biggest hits of 2013. Wyre’s style is very unique as he fuses reggae and R&B to create massive hits consistently. He has released two albums and features in numerous songs by other established artists. He usually includes choreographed dances while performing his music on stage or in music videos. Most of his wealth comes from live performances, album sales and royalties. Wyre is also a judge at the popular dance show Sakata aired on Citizen TV and owns Love Child Records.

4. Nameless
Born David Mathenge, Nameless burst into the limelight in 1999 during Capital FM’s star search. He has worked with Tedd Josiah of the now defunct Blue Zebra before signing with Ogopa DJs. Some of the hits that he’s released during his career include: Megarider, Boomba Train, Sinzia, Juju and Salary. According to the cheque he received from MCSK, he’s one of the most played Kenyan artists. He’s won many awards such as Kisima Music Awards (2004), Pearl of Africa Music Awards (2006), Channel O Music Video Awards (2007) and MTV Africa Music Awards (2009).

5. Habida
The talented singer is also a model and has worked with Kiko Romeo in her early years. She studied drama at Lewisham College, London and musical theatre at Kennesaw State University, Atlanta. On returning home, Habida worked with renowned producer, Robert ‘RKay’ Kamanzi and managed to flood airwaves with the singleSunshine alongside Nameless. Currently, her latest single Lights Up is ruling the airwaves. She has won several awards like the Best Video Award at the East African CHAT Awards, 2010. Apart from royalty payments, she still earns a lot from her modelling career.

6. Jua Cali
Although Juacali didn’t make it to MCSK’s top-ten list of the highest paid, he built an empire with Clemo - Calif Records. They also created a new localised rapping style known as Genge. Other pioneers of Genge were Nonini and Mahatma. In 2001, he penetrated the industry with his hit single Ruka. He has released three studio albums since then namely: Juacali Sekta, Ngeli ya Genge and TuGenge Yajayo. He was the first Kenyan artist to be endorsed by a corporate when he received a Kshs 1million-a-year deal from Motorola. He also signed a Kshs 10-million deal as the Orange Ambassador
 




7. JulianiIn Kenya, Hip Hop artists usually don’t make as much money as their counterparts in other popular genres like Genge and Kapuka. This is with the exception of a few artists. When starting out, Juliani was a member of the Ukoo Flani Mau Mau group before he got saved in 2005 and pursued a solo career. He has worked with Kijiji Records, Kenya and a record label in the UK. He has also been endorsed by Google Plus.  Juliani’s music touches important aspects of society in the realms of religion and politics. He has released two albums - Mtaa Mentality and Pulpit kwa Street. And most recently, he got a new job with Google alongside Churchill and Caroline Mutoko.


8. Prezzo
Even though most of his wealth comes from inheritance (as Jaguar used to claim when he was beefing with Prezzo), Prezzo is undeniably one of the top paid Kenyan musician. His hit song ‘Naleta Action’ that featured Nazizi reserved him a spot as a big name in theentertainment industry. He’s known for showing the immense wealth through his flashy music videos. He was also a contestant at Big Brother Africa (BBA) in 2012 but didn’t manage to win. Nevertheless, Kenyans were proud of him and he’s currently a ONE Ambassador.

 







9. Angela ChibalonzaThe late Angela Chibalonza was born in Kinshasa, Congo and relocated to Kenya after graduating from high school. She had a powerful voice and used to sing in the choir. The artist has several albums under her belt including: Nikuabudu, Jina la Yesu, Mwisho wa Dunia and Ninapotembea. Her music is in French, Lingala, Luganda, Swahili and English thus sells across a wider fan base. Although Chibalonza was in the top-ten list of the highest paid by MCSK in 2012, she always insisted that she did music not for money but to minister.

10. RingtoneThe talented gospel artist is ranked #10 by MCSK with regards to the highest earning artists of 2012. He became popular after releasing the hit single Pamela, which topped many local charts for weeks on end. After that, he recorded several other songs with the current hit being Jubilation. Ringtone lives a flashy lifestyle and has a lot of assets. He tried his hand at politics in 2012 but didn’t succeed and ended up purchasing a Range Rover worth more than Kshs 7 million with part of the funds raised for the campaign.
 

HUYU NDIYE MISS TANZANIA ALIYEKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA HUKO CHINA


Kuna habari zimezagaa kwa wabongo waishio China inasemekana aliyekuwa Miss Kiswahili 2009 wengi tukimjua kwa jina la Rehema Fabian amekamatwa na unga nchini humo.
Marafiki wa karibu wa Rehema ambao waliomba nisiwataje wamesema kuwa Rehema aliondoka kuelekea Shaghai wiki moja iliyopita halafu juzi ndio wao walipewa habari kuwa rafiki yao kakamatwa na kosa jingine alilokuwa nalo ni aliova stay kwasababu VISA yake ilikuwa imekwisha kitambo. Kama kuna ndugu yake yoyote ameona habari hii mnaombwa mfikishieni habari hivi mama yake mzazi ili ajue.
  Dj Choka Blog

WATU WAWILI WAKAMATWA NA MAITI YENYE MADAWA YA KULEVYA TUMBONI HUKO TABATA....!!




POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam inawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na maiti, iliyokuwa na pipi 33 za dawa za kulevya aina ya heroin tumboni.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Kanda hiyo, Kamishna wa Polisi, Suleiman Kova alitaja waliokamatwa kuwa ni Nasri Omari (36), maarufu kama Rajabu Robot na Mwanaisha Salim( 36), mkazi wa Kigogo Luhanga.
Kila pipi ina urefu wa sentimita sita...tulipata taarifa kutoka kwa raia wema kuwa huko Tabata kuna mtu mmoja alifariki ghafla muda mfupi baada ya kutoka bafuni kuoga na tukaamua kulifuatilia tukio hilo” alisema.
Alisema makachero walifika eneo la tukio, nyumbani kwa Omari na kuhoji hatimaye kugundua uwepo wa maiti sebuleni ikiwa imelazwa chali katika godoro sakafuni huku akiwa hana nguo na amefunikwa na shuka.
Omari ambaye ndiye mmiliki wa chumba kilichokutwa maiti, alisema marehemu anajulikana kwa jila la Rajabu Kandunda (43), maarufu kama Mashaka Mabruki” alisema.
Kamishna Kova alisema uchunguzi wa awali, ulionesha kuwa Kandunda alifika kutoka Mtwara Septemba 21 kwa maelezo kwamba alikuwa mgonjwa na alikwenda kuchukuliwa na watuhumiwa hao wawili.
Alisema uchunguzi huo, ulifanywa na jopo la madaktari wawili na kushuhudiwa na maofisa wa juu wa Polisi na ndugu wa karibu wa marehemu, ambapo katika uchunguzi huo wa mwili wa marehemu, tumboni zilikutwa pipi 33 za dawa za kulevya aina ya heroin, zenye thamani ya mamilioni ya fedha.
Zipo taarifa zinazoonesha kwamba alikuwa ni mhalifu mzoefu wa usafirishaji wa dawa za kulevya, kwani kabla ya kurudi Tanzania alikuwa akitumikia kifungo nje ya nchi barani Asia” alisema.
Kova alisema uchunguzi zaidi unafanyika ili kujua mtandao mzima wa usafirishaji wa dawa hizo, ambao umemhusisha marehemu. Alisema wote watakaobainika kuhusika, watakamatwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria.
Aidha alisema baada ya upekuzi, marehemu huyo alikutwa na vielelezo vingine, ikiwemo fedha za Kenya Sh 700, Dola za Marekani 100 na fedha ya Ushelisheli.
Alisema operesheni ya kukamata dawa za kulevya, inaendelea. Aliomba raia wema kuendelea kutoa taarifa za dawa hizo, kwani zina madhara makubwa kwa wananchi, hasa vijana.

RAIS KENYATTA AWATAJA WALIOHUSIKA NA SHAMBULIO LA KIGAIDI KWENYE JENGO LA WESTGATE JIJINI NAIROBI..!!


Wakati jengo la ghorofa tatu lililovamiwa na magaidi likiripotiwa kuanguka jana na kuua watu sita, Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema mwanamke mmoja raia wa Uingereza na Wamarekani wawili au watatu wanashukiwa kuongoza shambulizi la kigaidi lililofanywa katika jengo la biashara eneo la Westgate, Nairobi, Jumamosi iliyopita.
Akilihutubia taifa la Kenya jana, Rais Kenyatta alisema hakuna ushahidi wa kuwahusisha watu hao na tukio hilo moja kwa moja  lakini uchunguzi unaendelea.

Wataalamu wa mambo ya upelelezi wanaendelea kuchunguza juu ya ushiriki wa watu hawa na wakiwabaini, basi tutachukua hatua kali,” alisema Rais Kenyatta.

Tangu kutokea kwa shambulizi hilo, vyombo mbalimbali vya habari vilimtaja mwanamke wa Uingereza, Samantha Lewthwaite kuwa ndiye aliyeongoza shambulizi hilo.

Pia jina lake lilitajwa na Kundi la Al-Shabaab kupitia katika mtandao wa mawasiliano wa kijamii wa Twitter.

Hata hivyo, maelezo ya Rais Kenyatta yanapingana na ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi hiyo, Joseph ole Lenku ambaye alikaririwa na vyombo vya habari jana akidai kuwa hakukuwa na mwanamke miongoni mwa magaidi hao, bali baadhi yao walivaa nguo za kike.

Rais Kenyatta alisema magaidi watano walikuwa wameuawa katika operesheni hiyo ya kulikomboa jengo hilo.

Pia alibainisha kuwa watu kumi na moja walikuwa wanashikiliwa na polisi wakishukiwa kushiriki katika shambulio hilo.

Magaidi wanaoaminika kuwa wafuasi wa Kundi la Al-Shabaab walivamia jengo hilo na kufanya shambulizi lililosababisha vifo vya zaidi ya watu 60 na 175 kujeruhiwa, Jumamosi iliyopita.

Rais Kenyatta aliapa kuwa Serikali yake imepania kuwashinda magaidi na kuhakikisha inawafikisha kwenye mikono ya sheria.

Ghorofa kuanguka

Pia Rais Kenyatta alitangaza kuwa maofisa sita wa usalama walifariki dunia jana jioni baada ya kuangukiwa na ukuta baada ya kudondoka kwa ghorofa tatu za jengo ambalo magaidi wamejichimbia.

Monday, September 23, 2013

MAHOJIANO KWA LUGHA YA KISWAHILI KATI YA MWANDISHI WA HABARI NA MSEMAJI WA AL-SHABAAB JUU YA MAUAJI YA ZAIDI YA WATU 59 JIJINI NAIROBI...!!




Mwandishi Jamal Osman amefanya mahojiano exclusive na msemaji wa kundi la kigaidi la Al-Shabaab kuhusiana na sababu za kuishambulia mall ya Westgate.
Hii ni tafsiri ya Kiswahili ya mahojiano hayo yaliyofanywa kwa Kiingereza kwenye mtandao wa Channel4
Jamal Osman: Kwanini mmefanya shambulio?

Msemaji wa Al-Shabaab: Sababu ya kufanya shambulio ni kuwalinda watu wetu na nchi yetu sababu Kenya ilitushambulia, bado wanaendelea kushikilia sehemu ya ardhi yetu. Tumekuwa majirani wenye amani, lakini wao ndio walitushambulia na tunajilinda.
Haijalishi kama wewe ni Muislamu ama Mkristo, sheria inasema unatakiwa kujilinda mwenyewe dhidi ya yule aliyekushambulia.

JO: Mmeua watu wa mataifa mengi wakiwemo Waingereza, hamuogopi mataifa makubwa yatawatafuta?

Msemaji wa Al-Shabaab: Tumewaambia Wakenya na wale wanaoenda Kenya kwamba hatuwezi kuvumilia kile Kenya inatufanyia. Tuliwaambia tutajilinda wenyewe na tuliwaonya kuhusu kwenda Kenya.
Wakenya wana damu yetu mikononi mwao. Mtu yeyote aliyejiandaa kwenda Kenya lazima ajiandae na kukabiliana na ukweli huo, na hatuwaogopi watu wa Ulaya ama Wamarekani sababu sisi si wadhaifu.
 Na tunasema hili kwa watu wa Ulaya na Wamarekani ambao wamekuwa wakiwasaidia wale wanaotushambulia, muwaambie Wakenya waache uonevu wao kama mnataka kuwa salama.

JO: Kwanini mliilenga mall ya Westgate?

Msemaji wa Al-Shabaab: Sababu ya kwanini tuliilenga mall ya Westgate, ni kwakuwa Wakenya na serikali yao wametumia majeshi dhidi yetu, ni maadui wetu. Wamewatuma watu wao Somalia, wameiunga mkono serikali yao kuishambulia nchi yetu. Kwetu, popote pale Kenya ni sawa, tutawapiga popote tuwezapo.
 Sababu tulilenga Westgate ni kwamba tunajua ni sehemu ambayo wanajisikia maumivu zaidi. Ni kwasababu inaingiza hela nyingi na ipo katikati ya jiji.
Ni sehemu wanasikia maumivu na kwasababu tulitaka kutuma ujumbe na hatukutaka kuupoteza ujumbe wetu. Tulitaka ujumbe wetu umfikia kile Mkenya.

JO: Wapiganaji wenu ndani ya mall bado wanapigana?
Msemaji:
 Ni zaidi ya saa 27 sasa, wapo ndani na bado wameshika hatamu.

JO: Nasikia kuna mpiganaji mwanamke ndani pia?

Msemaji: Hatupeleki wanawake wetu kwenye uwanja wa vita.

JO: Kitu gani mnategemea kitatokea sasa? Nini litakuwa tokeo la hili?

Msemaji: Kama Mungu akipenda, tunategemea Wakenya watapata ujumbe kwamba kama ukimwaga damu, damu yako itamwagika pia. Kwao kujua kuwa hawawezi kushikilia Kismayu, Dhobley na Afmadow na wategemee waishi kwa amani Nairobi. Huo ni ujumbe tunataka kuutuma kwao.

JO. Kwenye jumbe zenu kupitia Twitter mnasema huu ni mwanzo tu na mtaendelea, ama mmeshafikia malengo yenu?

Msemaji: Tunasema kwa Kenya, iacheni nchi yetu. Huo ni ujumbe wa kwanza. Na kama wakikataa kuiacha nchi yetu basi tutaanzisha vita yenyewe.

JO: Hivyo matakwa yenu kwa Wakenya, ni kuiacha nchi yenu kama wanataka amani?
Msemaji:
 Kama Wakenya wanataka amani, wanatakiwa kuiacha nchi yetu.

JO: Kwanini mnawalenga watu wasio na hatia?

Msemaji: Raia wa kigeni, wanatakiwa kuondoka kwenye nchi hiyo (Kenya) kwasababu Wakenya na Al-Shabaab wapo kwenye mgogoro na tunamwambia kila mtu – Kenya ni eneo la vita.

JO: Kwakuwa unasema raia wa kigeni na Waingereza wana maslahi makubwa nchini Kenya, mna ujumbe gani kwao?
Msemaji: Tunasema kwa Waingereza, kwakuwa tunaamini wanawasaidia Wakenyan na Wakenya ni watumwa wao, wao (Waingereza) wanatakiwa kuwaambia Wakenya, walitoe jeshi lao Somalia.
 Na Waingereza wanajua Wasomali hawataka tamaa. Tuliwakatalia Waingereza mwanzoni, ambao wana nguvu kuliko Wakenya

UPDATE: MATEKA ZAIDI WAZIDI KUOKOLEWA KWENYE JENGO LA WESTGATE HUKO NAIROBI NCHINI KENYA...!!

 

Kenya imesema mateka wachache wamebaki ndani ya maduka ya kifahari ya Westage Mall yaliyovamiwa na wanamgambo wa kiislamu wa Al- shabab Jumamosi ambapo dazani za watu wameuwawa.

Kundi la kigaidi la wanamgambo la Al- shabab limedai kuhusika na shambulizi likisema kuwa linajibu kuhusu majeshi ya Kenya yaliyoko katika operesheni nchini Somalia.

Majeshi ya Kenya yalianza kufanya mashambulizi Jumapili  jioni katika maduka hayo ya kifahari ya Westage Mall kuokoa watu waliokuwa wamejificha au kushikiliwa mateka na watu wenye silaha.

Waziri wa mambo ya ndani Joseph Ole Lenku, aliuambia mkutano wa waandishi wa habari Jumatatu kwamba vikosi vya Kenya sasa vinadhibiti kila ghorofa la jengo hilo na tayari yameokoa takriban mateka wote waliokuwa wamebaki ndani.

Amesema watu wawili waliokuwa na silaha waliuwawa katika operesheni za kijeshi zinazoendelea na wanajeshi 10 wa vikosi vya usalama wamejeruhiwa.

Lenku alizungumza kwa karibu dakika 90 baada ya mashahidi kusikia milipuko mikubwa iliyokuwa inatokea kwenye Mall ikifuatiwa na milio ya bunduki. Moshi mkubwa mweusi bado unaendelea kufuka kutoka kwenye Mall baada ya milipuko hiyo. Lenku anasema wanamgambo walichoma moto magodoro ili kuvuruga hali.

Amesema watu 62 wameuwawa tangu shambulizi hilo lilipozuka Jumamosi ambapo
Shirika la msalaba mwekundi la Kenya limetoa idadi ya vifo kuwa ni 69 huku 175 wakiwa wamejeruhiwa na takriban watu wengine 65 hawajulikani walipo.

TIZAMA KUNDI LA WATU WALIOTEKWA NCHINI KENYA WALIVYOOKOLEWA


37        Kama taarifa imekupita ni kwamba Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amekiri kuwa idadi ya waliofariki inafikia 39 na zaidi ya 150 kujeruhiwa.. hizi picha zimetoka bbcswahili.com
36
35
34
33
38
32
31

Sunday, September 22, 2013

UFUSKA WA MANAIKI SANGA “THE DON” WAFANYIWA FILAMU, AWASHIRIKISHA WASICHANA WOTE ALIOPIGA NAO PICHA ZA UTUPU, WAMO MASTAA WA BONGO MUVIE, ISHU YA MUHOGO WA JANG’OMBE NA MAMA WA KIZUNGU YAMLETEA MATATIZO MAKUBWA



HII NDIO VIDEO YA FILAMU YA UFUSKA YA MANAIKI SANGA "THE DON" AMBAYO AMEIITA  JINA LA "NGEMA" AMBAYO PIA INAPATIKANA KWENYE MTANDAO WA YOU TUBE KWA JINA LA "UFUSKA WA MANAIKI SANGA"






Hatariiiiiiiiiii hii ndio filamu ya NGEMA 

































A
Mwanadada Asnati Msangi ambae ni msanii undergroud wa Bongo Muvie ambae kwa sasa yuko kwenye himaya ya The don Manaiki Sanga!

 
Msanii Manaiki Sanga"the done" akiwa na mtoto wa mke  nne wa Rais wa awamu ya kwanza Zanzibar Abed Karume aitwae Dida. ambae ni mshindi wa shindano la Bibi Bomba mwaka jana.
 
Bless Zacharia ambae ni 1 wa washiriki wa filamu hiyo


 Msanii Manaiki Sanga"the done" akiwa na mwanafunzi wa cho kimoja maarufu Jijini Dar siku



Hapa sin ikiwa imepamba moto mmh.......

Hapa wakifurahia kitu......
Annastazia na The Don Manaiki Sanga wakiwa kwenye picha ya pamoja!

 
 
Msichana Annastazia Mungani "24" kama inavyoonekana akiwa mtupu nasijui picha hii iko kwenye Filamu ya Ngema ama laa!

Kufuri la Irine Kanka ambae inadaiwa walipiga picha hizo baada ya kumaliza tendo la ndo na Manaiki Sanga kwenye Hotel ya msanii huyo iliyopo katikati ya mji Jijini Dar!

Msichana raia wa Uganda ambae anasoma chuo kimoja maarufu Jijini Dar akiwa mwenye hisia na haikufahamika kama walikuwa wanaigiza filamu au!!!
Irine Kanka Miss Temeke ambae nae anadaiwa kucheza filamu hiyo, ambapo mrembo huyo na Manaiki sasa hivi wanaishi kama mke na mume maeneo ya Kinondoni Makaburini!






The done kama anavyoonekana na mrembo wakiigiza filamu hiyo, ambapo hata hivyo kwenye Clip ya video hiyo haioneshi ufuska.











Na Sakina Shabani


Katika hali ya kushtua msanii chipukizi Manaiki Sanga “The Don” aliyejipatia umaarufu mkubwa nchini na duniani baada ya picha zake za utupu akiwa na wanawake zaidi ya 400 wakiwemo wazungu akifanya nao ngono nzembe na baadae kusambaa kwenye mitandao yote duniani na kuonwa na mamilioni ya watu hasa wale wanaopata habari kupitia mitandao ya kijamii, sasa ameamua kutengenezea filamu halisi ya matukio hayo akiwa na wanawake walewale aliofanya nao ngono.

Xdeejayz baada ya kupata taarifa kuwa kuna filamu ya namna hiyo ilifanya juhudi za ziada hadi kufanikiwa kupata clip ya filamu hiyo iliyotengenezwa na kampuni ya Farasi Entertainment yenye makao yake makuu Mwananyamala Jijini Dar ambapo Clip hiyo inawaonesha mastaa mbalimbali toka kiwanda cha bongo muvi wakiwa wameshirikishwa.

Habari zaidi toka kwa mtu wa karibu na Manaiki zilisema kuwa filamu hiyo iligharimu zaidi ya shilingi milioni 23 ambapo sehemu kubwa ya filamu hiyo ameifanyia Mkoani Arusha kwenye hotel moja ya kitalii huku gharama kubwa zikiwa zimetumika kuwalipa mastaa walioshirikishwa kwenye filamu hiyo aliyoipa jina la Ngema.

Mastaa walioshiriki kwenye  filamu hiyo ni Riyama Ally, Suleiman Barafu,Slim Omary, Neema Ndepanya, Prince Kas, Muhamed Fungafunga “Jengua” na mtoto mdogo aliyefahamika kwa jina la Ivan Fred huku ikiongozwa na Rashidi Ngayama “Pete”. Na wasanii wengine ni  Arapha Thabit, Sabrina Minja,Faiza Omary, Jackline Richard na Neema Reymer, Bless Zacharia.

Hata hivyo Xdeejayz ilipata baadhi ya majina ya warembo hao huku wengine hawakuweza kutambulika majina yao. Aidha filamu hiyo ambayo tayari inadaiwa imeshatua mezani kwa kampuni zinazohusika na uzambazaji nchini ambazo ni Steps,Sprash, Leo Media, Pilipili Entertainment na tayari imeonekana kukubarika na kuwavutia wadosi huenda siku si nyingi itapatikana mtaani.

Wadau mbalimbali wamesema filamu hiyo inayoitwa Ngema ambayo baadhi ya vipande vinafaa kutizamwa na watu wazima tu huenda itazidi kumpa umaarufu mkubwa msanii huyo kutokana na mashabiki wengi kuwa na hamu ya kutaka kuitizama na inategeme kuwa watu wengi wamekuwa wakisumbua vichwa vyao kutaka kujuwa kazi alizofanya Manaiki hadi kupelekea kujizolea umaarufu hapa mjini.

Aidha katika hatua nyingine kuna habari kuwa msanii huyo tangu picha zake kuvuja hasa picha yake inayomuonesha akijivinjari ya Bibi wa kizungu toka  Ujerumani kitandani huku akionekana kuwa na Muhogo wa Jang’ombe wa haja hali imekuwa mbaya kwake kwani mabinti mbalimbali wakiwemo wanawake za watu wamekuwa wakimpigia vikombo kumtafuta ili awepe burudani  hadi kupelekea kubadili namba ya simu yake kuepuka usumbufu.