
Wananchi wa Afrika Kusini hii leo wamekuwa na wasiwasi baada ya rais wa nchi hiyo Jacob Zuma kutangaza kuwa hali ya afya ya rais mstaafu Nelson Mandela sio nzuri sana baada ya kulazwa hosipitali kutokana na kuugua ugonjwa wa Mapafu alioupata baada ya kufungwa jela wakati alipokuwa anatetea Taifa la Africa ya Kusini.
No comments:
Post a Comment