 |
Katibu mkuu wa Wizara ya Kilimo Bw, Mohammed Said Muya ,
akionyesha Gazeti la Raia Mwema toleo namba
252 la tarehe 1 Agosti 2012
ambalo liliandika makala yenye kichwa cha habari Chembe hai za Karoti ,Nge
Zatengeneza Nge Mwenye Umbo la Karoti.
|
Amesema kuwa Makala hiyo haina ukweli wowote na hivyo Mifano iliyotolewa ni ile ya kufikirika kwani
picha inayoonyeshwa ya N’gombe hai aliyetengenezwa kwa teknolojia ya uhandisi baada ya kuchanganya chembe
hai za ng’ombe mwenye tabia ya
Kibinadamu ni ya Kufikirika.
 |
Katibu mkuu akisisitiza jambo mbele ya waandishi wa habari waliohudhuria |
 |
Hawa ni baadhi tu ya waandishi wa habari waliokuwemo leo katika mkutano huo |