Monday, September 10, 2012

TRENI ZA KUFANYA SAFARI ZA DAR ES SALAAM MJINI ZIMEJARIBIWA LEO

Baadhi ya Abiria wakiwa katika moja ya behewa ndani ya Treni hiyo ambayo ina mabehewa sita yenye uwezo wa kubeba abiria 900, Treni hiyo itakuwa inafanya safari zake kutokea Ubungo mpaka Stesheni Poster

Hii ndiyo Treni yenyewe

Naibu waziri wa Uchukuzi akiwa kwenye Treni hiyo  wakati wa Majaribio

Naye Katibu mkuu wa Wizara ya Uchukuzi alikuwepo