SIKU MOJA KABLA YA KIFO CHA MWANDISHI ALIYEPIGWA BOMU ILIKUA HIVI
Hapa wanaandaa mkutano wa klabu ya waandishi wa habari uliokuwa uanze jana jijini Dar es Salaam, aliyesimama ni Katibu wa Klabu hiyo mkoa wa Iringa na Kushoto kwake katikati ni Marehemu Mwangosi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Klabu hiyo Mkoani Iringa