Lengo la waislamu hawa kuandamana ni kushinikiza serikali iwaachie huru waislau walioshikiliwa wakati wa Sensa kwa kugoma kuhesabiwa, na hatimaye serikali ilisalimu amri na kuamuru waislamu wote waliokamatwa waachiwe huru kwa dhamana. Maandamano hayo yalidumu kwa muda wa masaa zaidi ya matano na yalianzia Buguruni Mpaka kwa waziri wa mabo ya Ndani katika wizara yake. |